SPARK PLUGS CHANGE..
Spark plugs zinatakiwa kubadilishwa kulingana na aina yake na mapendekezo ya mtengenezaji:

Copper spark plugs: km 20,000–30,000

Platinum spark plugs: km 60,000–100,000

Iridium spark plugs: km 80,000–160,000


Kwa engine nyingi za kisasa kama Subaru FB20, hutumia Iridium spark plugs, ambazo mara nyingi hubadilishwa baada ya km 100,000–120,000.

Dalili za spark plugs kuhitaji kubadilishwa:

Engine kutetemeka (misfire)

Gari kukosa nguvu

Matumizi makubwa ya mafuta

Ugumu wa kuwasha engine

Check Engine Light kuwaka


BY..Eng.Joseph Mujungu

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Types of Clutches

MFUMO WA USUKANI KWENYE GARI

ENGINE FLUSH