MECHANICS NOTIS
MECHANICS KAZI YA EGR.KWENYE ENGINE…. EGR(EXHAUST GAS RECIRCULATION)NI MFUMO UNAORUDISHA SEHEMU YA GAS ZA MOSHI KUTOKA KWENYE EXHAUST KURUDI KWENYE INTAKE MANFOLD.. KAZI ZAKE KUU: 1.Kupunguza uzalishaji wa gesi hatari hasa NOx(Nitrogen Oxides)kwa kushusha Joto la mwako ndani ya silinda. 2.Kupunguza knocking(detonation)kwenye baadhi ya injini kwa kupunguza joto la mwako. 3.Kuboresha ufanisi wa injini katika hali Fulani za uendeshaji,hasa mwendo wa kawaida(cruising). KWA KAWAIDA VALVE YA EGR: .Hufunguka wakati injini ikiwa kwenye mzigo wa kawaida. .hufungwa wakati wa kuwasha injini ik...